Karibu Na Bwana na Mbusa Mbasa
TZS 40,000.00
In stock
SKU
SplKaribu Na Bwana na Mbusa Mbasa
Karibu na Bwana
KARIBU NA BWANA:
1. Karibu na Bwana twapata pumziko na Amani tele, Amani yake yapita Amani ya Dunia. Asema, nawapa Amani, si kama Dunia itowavyo .
2. Zijapo shida za Dunia, Amani yake yatutosha, Hakuna kitakacho tutenga na Mungu. Siku zote, Saa zote, hasinzii kamwe, ananikeshea.
3. Ukiwa umesumbuliwa motoni, umwite Yesu, Asema usihofu maana tu pamoja nawe. Usiende mbali naye Bali macho Yako yamtazame yeye.
Seller | THEMBASASBOOKSHOP |
---|---|
Language | Kiswahili |
Writer | Mbusa Mbasa |
Duration | 00:48 |
Write Your Own Review