Kilimo Bora cha Vitunguu Kibiashara Na P. B. Ndyeshumba

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplKilimo Bora cha Vitunguu Kibiashara Na P. B. Ndyeshumba
Kilimo Bora cha Vitunguu Kibiashara Na P. B. Ndyeshumba

Kitabu hiki kimeandaliwa mahsusi kwa kumsaidia mkulima au mtu yeyote anayetaka kuanzisha kilimo cha vitunguu kupata maarifa na taratibu nzuri za kulima vitunguu kwa ubora unaotakiwa, kuzingatia utaalam na maarifa sahihi. Iwapo mkulima atazingatia mbinu zilizomo katika kitabu hiki atazalisha kwa tija na ufanisi kisha kupata mapato ya kutosha kurudisha ghrama na kuboresha maisha. Kitabu hiki kisomwe kwa uangalifu na umakini ili kukidhi malengo ya kukisoma. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi kuweza kusomwa na kila mtu anyayejua kusoma na kuandika.

More Information
Seller PitioNdyeshumbaBooks
Author Pitio B. Ndyeshumba
Good Read Yes
Total Pages 19
Publisher -
Write Your Own Review
You're reviewing:Kilimo Bora cha Vitunguu Kibiashara Na P. B. Ndyeshumba
Your Rating
Copyright © 2023 - 2025 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All Rights Reserved.