Kuishi Bila Mipango Majuto Uzeeni Na Mkumbo G. Mitula
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplKuishi bila mipango majuto uzeeni by Mkumbo G. Mitula
Kuishi bila mipango majuto uzeeni.
“Maisha yenye mafanikio yanataka mipango”. Kwa ajili ya kukufungua macho ya ufahamu ninakupa mambo machache ya kimipango ili msomaji upate kitu cha kukusaidia, nia ni kukupa mwanga ili utafute na vitu vingine vitakavyokusaidia zaidi. Mipango ni michakato ya kuamua kwa kina jinsi gani ya kuyafanya mambo kabla hujaanza kuyafanya (kama mipango ni mingi); kama mpango ni mmoja, mpango unakuwa ni mchakato wa kuamua kwa undani jinsi gani ulifanye jambo hilo kabla
hujaanza kulifanya. Watu wenye mafanikio ya uhakika na si ya kubahatisha hawaanzi jambo bila kwanza kuwa na mipango.
Seller | MKUMBOSBOOKSTORE |
---|---|
Author | Mkumbo G. Mitula |
Good Read | Yes |
Total Pages | 102 |
Publisher | Ps counceling consultants |
Write Your Own Review