Maisha Ni Gilasi Mkononi 2 Na Neema Ismail Mbise

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMaisha ni gilasi mkononi by Neema Ismail Mbise 2.

Maisha ni gilasi mkononi.

Links

Kitabu hiki kinagusa mambo mengi. Neema ameonesha dhahiri jinsi watu wengi walivyo na shauku kubwa ya kufanikiwa katika maisha. Hata hivyo, katika safari ya kutafuta mafanikio, watu wengi hukutana na changamoto nyingi zinazokwamisha jitihada zao. Hali hii husababisha baadhi ya watu kukata tamaa na kujinyanyapaa. Neema, ameandika kitabu hiki ili kukutia moyo na kuonesha nafasi uliyonayo wewe msomaji katika kubadili changamoto kuwa fursa ya kujifunza na maendeleo. Ni hakika kwamba maisha ya mwanadamu ni gilasi mkononi tuliyopewa na Mungu, ambayo tunapaswa kuishikilia vizuri kwa tahadhari ili isidondoke na kupasuka. 

More Information
Seller NEEMASBOOKSTORE
Author Neema Ismail Mbise
Good Read Yes
Total Pages 48
Publisher Inter Press of Tanzania Ltd.
Write Your Own Review
You're reviewing:Maisha Ni Gilasi Mkononi 2 Na Neema Ismail Mbise
Your Rating
Copyright © 2023 - 2025 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All Rights Reserved.