Maisha Ni Gilasi Mkononi Na Neema Ismail Mbise.
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMaisha ni gilasi mkononi by Neema Ismail Mbise.
Maisha ni gilasi mkononi.
Kitabu hiki kinagusa mambo mengi. Neema ameonesha dhahiri jinsi watu wengi walivyo na shauku kubwa ya kufanikiwa katika maisha. Hata hivyo, katika safari ya
kutafuta mafanikio, watu wengi hukutana na changamoto nyingi zinazokwamisha jitihada zao. Hali hii husababisha baadhi ya watu kukata tamaa na kujinyanyapaa. Neema, ameandika kitabu hiki ili kukutia moyo na kuonesha nafasi uliyonayo wewe msomaji katika kubadili changamoto kuwa fursa ya kujifunza na maendeleo. Ni hakika kwamba maisha ya mwanadamu ni gilasi mkononi tuliyopewa na Mungu, ambayo tunapaswa kuishikilia vizuri kwa tahadhari ili isidondoke na kupasuka.
Seller | NEEMASBOOKSTORE |
---|---|
Author | Neema Ismail Mbise |
Good Read | Yes |
Total Pages | 48 |
Publisher | Inter Press of Tanzania Ltd. |
Write Your Own Review