Mama shujaa wa mfano: Sengimba na Samia na Mkumbo G. Mitula

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMama shujaa wa mfano by Mkumbo G. Mitula

Mama shujaa wa mfano.

Mama shujaa wa mfano: Sengimba na Samia na Mkumbo G. Mitula

Katika kitabu hiki najaribu kuchambua mambo yahusuyo Utalii wa Kitamaduni, nikiliangazia kabila la Wahehe kupitia Mama SENGIMBA, Mama yake Chifu MKWAWA ambapo nitakutembeza msomaji uwaone watu shupavu jinsi imani, mila, desturi na falsafa zao zinavyowaongoza katika kuishi kwao na wanavyoweza kusimama nazo kwa gharama yoyote ile, ikibidi gharama ya uhai wao. Tumesikia Wahehe wanajinyonga na kujiua, kazi hii imegundua kuwa huyu Mama katika historia ndiye mwanzilishi. Mama SAMIA anaingia akihusianishwa na Mama SENGIMBA kwa sababu yeye ni Mwanamke na Mama wa kwanza kuiongoza Tanzania hajapata kuwepo mwanamke mwingine kabla yake. Ukitaka kupata uhalisia wa yote haya kwa kina, soma kitabu hiki na hautajutia.
 

More Information
Seller MKUMBOSBOOKSTORE
Author Mkumbo G. Mitula
Good Read Yes
Total Pages 175
Publisher Ps counceling consultants
Write Your Own Review
You're reviewing:Mama shujaa wa mfano: Sengimba na Samia na Mkumbo G. Mitula
Your Rating
Copyright © 2023 - 2025 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All Rights Reserved.