Muongozo wa Ufugaji wa Kuku wa Asili Na P. B. Ndyeshumba
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMuongozo wa Ufugaji wa Kuku wa Asili Na P. B. Ndyeshumba
Kufuga kuku wa asili kukizingatiwa kwa makini sana kunaweza kumtajirisha mfugaji kwa kuwa ni njia nzuri ya kuzalisha mapato na soko la kuku wa asili kwa Tanzania ni kubwa sana. Pia, ufugaji kuku wa asili ni njia nzuri ya kuongeza kipato cha familia, kuongeza lishe bora na kuepuka umaskini.
Seller | PitioNdyeshumbaBooks |
---|---|
Author | Pitio B. Ndyeshumba |
Good Read | Yes |
Total Pages | 56 |
Publisher | - |
Write Your Own Review