Muongozo wa Ufugaji wa Ngombe wa Kisasa Na P. B. Ndyeshumba
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMuongozo wa Ufugaji wa Ngombe wa Kisasa Na P. B. Ndyeshumba
Muongozo huu umeandaliwa mahsusi kuwasaidia wafugaji wanaoanza hatua za awali za ufugaji na wale wanaoendeleza ufugaji. Pia muongozo huu una misingi ambayo mfugaji akiisoma kwa makini na kuitumia kikamilifu ataweza kutatua baadhi ya changamoto katika ufugaji wake kabla ya kufikiwa na mtaalamu wa mifugo. Vilevile mfugaji anashauriwa kuusoma muongozo huu kwa unyumbufu mkubwa ili kuweza kunufaika nao kikamilifu na vyakutosha.
Seller | PitioNdyeshumbaBooks |
---|---|
Author | Pitio B. Ndyeshumba |
Good Read | Yes |
Total Pages | 59 |
Publisher | - |
Write Your Own Review