Muongozo wa Ufugaji wa Sungura Na P. B. Ndyeshumba
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMuongozo wa Ufugaji wa Sungura Na P. B. Ndyeshumba
Ufugaji wa sungura ni rahisi sana kwani hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Kitabu hiki kimeandaliwa ili kumpa mfugaji njia na kanuni mbalimbali rahisi za kuzingatia ili mfugaji aweze kuzitumia kupata mazao mengi na bora zaidi yatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine. Kwa kuzingatia maelezo yaliyo ndani ya kitabu hiki mfugaji ataweza kufuga kwa tija na ufanisi mkubwa sana, kutoa mazao bora na kupata soko la uhakika. Kanuni hizi ni pamoja na:Kuchagua njia bora ya kufuga na sifa za mabanda bora ya sungura.
Seller | PitioNdyeshumbaBooks |
---|---|
Author | Pitio B. Ndyeshumba |
Good Read | Yes |
Total Pages | 32 |
Publisher | - |
Write Your Own Review