Mwongozo wa Kilimo Bora wa Vanilla Na P. B. Ndyeshumba
TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplMwongozo wa Kilimo Bora wa Vanilla Na P. B. Ndyeshumba
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazolima vanilla katika Afrika. Zao hili lilianza kuingia nchini kutoka Uganda mnamo mwaka 1954 kupitia kwa mkulima mmoja wa kijiji cha Kiilima wilaya ya Bukoba Vijijini. Vanilla imeanza kulimwa kibiashara hasa katika mkoa wa Kagera mwaka wa 1992.
Soma kitabu hiki kupata Mwongozo wa Kilimo Bora wa Vanilla na P. B. Ndyeshumba.
Seller | PitioNdyeshumbaBooks |
---|---|
Author | Pitio B. Ndyeshumba |
Good Read | Yes |
Total Pages | 28 |
Publisher | - |
Write Your Own Review