Ndoa Siyo Doa na Mchg. Charles K. Mbogoma

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplNdoa Siyo Doa na Mchg. Charles K. Mbogoma

Mchungaji Charles Kuya Mbogoma anahudumu katika Vision of Grace Centre (VGGC) iko jijini Dar es Salaam.

Ndoa Siyo Doa na Mchg. Charles K. Mbogoma

Kitabu hiki cha "Ndoa Siyo Doa" ni matokeo ya kipindi nilichokuwa nakiendesha katika televisheni ya Sibuka, miaka 2012 na 2014; kipindi kilichoitwa "Ndoa Siyo Doa" ambacho nilikianzisha kwa malengo ya kutoa ushauri naishi ili jamii inayopitia kwenye changamoto zinazoumiza katika ndoa, ipate kuhudumiwa; hii ni pamoja na jinsi ya kuzitatua changamoto hizo mbalimbali zinazohusu ndoa, kwa hekima, busara na maarifa kwa kumtegemea Mungu. 

Dondoo zifuatazo zimo katika kitabu hiki:
- Dondoo 48 Unazotakiwa Kuzijua Kuhusu Ndoa ya Upendo,

- Ndoa Ni Umoja na ni Taasisi ya Kutusafisha Njia,

- Ndoa Haiji Kukutia 'Doa' bali kukutoa kwenye Doa la Dhambi,

- Hatuchekani Ila Tunajengana Kupitia Madhaifu Yetu Kwenye Ndoa.

More Information
Seller PASTORKUYABOOKS
Author Mchg. Charles K. Mbogoma
Good Read No
Total Pages 78
Publisher -
Write Your Own Review
You're reviewing:Ndoa Siyo Doa na Mchg. Charles K. Mbogoma
Your Rating
Copyright © 2023 - 2026 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All Rights Reserved.