Siri Rahisi ya Kupungua Mwili na Uzito Na M. B. Mohemmed

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplSiri Rahisi ya Kupungua Mwili na Uzito Na M. B. Mohemmed

Unapokuwa na akili sahihi, unafanya maamuzi kwa faida yako binafsi, si kwa shinikizo la watu wengine.
Safari ya kupungua uzito inakuwa ya upendo kwa mwili wako, si ya kujichukia.
Kitabu hiki kitakusaidia kufungua akili yako na kukukumbusha kuwa una uwezo wa kufanikisha chochote unachokusudia.

Siri Rahisi ya Kupungua Mwili na Uzito Na M. B. Mohemmed

Kupungua uzito si mazoezi na dayati pekee, bali ni mtindo wa maisha unaogusa kila sehemu ya maisha yako, ikiwemo afya ya akili.
Ndiyo maana ni muhimu kuimarisha akili yako kwanza kabla ya kuanza safari hii.
Kubadilisha mtazamo wako kunaweza kukusaidia kupata matokeo bora na ya kudumu.

More Information
Seller MaymunaMohamed
Author Maymuna B. Mohammed
Good Read Yes
Total Pages 57
Publisher -
Write Your Own Review
You're reviewing:Siri Rahisi ya Kupungua Mwili na Uzito Na M. B. Mohemmed
Your Rating
Copyright © 2023 - 2026 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All Rights Reserved.