Yesu Kristo Mponyaji na Mchg. Dr. Allen Adam Mbiso

TZS 10,000.00
In stock
SKU
SplYesu Kristo Mponyaji na Mchg. Dr. Allen Adam Mbiso
Yesu Kristo Mponyaji na Mchg. Dr. Allen Adam Mbiso

Mpendwa msomaji wa kitabu hiki, hongera sana kwa kuamua kujifunza kutoka katika ujumbe uliomo katika kitabu hiki cha Yesu Kristo Mponyaji! Bwana Yesu Kristo ajidhihirishe kwako kipee kama alivyotenda kwangu na wengine wengi waliopata ufunuo huu.

Pamoja na mambo mengine kitabu hiki kitakusaidia kujua;

• Neema ya uponyaji na ukombozi tunayoipata kupitia kwa Bwana Yesu Kristo.

• Mapenzi ya Mungu katika uponyaji.

• Sababu kwa nini Bwana Yesu Kristo anaponya hata leo.

• Vikwazo vya uponyaji na namna ya kuvishinda.

• Namna ya kutunza uponyaji na ukombozi.

Tarajia kukutana na uponyaji na ukombozi kutoka kwa Bwana Yesu Kristo na tarajia pia kupata ufunuo na neema ya kuwaombea watu wengine wapone

More Information
Seller MBISOBOOKSSTORE
Author Mchg. Dr. Allen Adam Mbiso
Good Read Yes
Total Pages 128
Publisher Kiwonyi Printers
Write Your Own Review
You're reviewing:Yesu Kristo Mponyaji na Mchg. Dr. Allen Adam Mbiso
Your Rating
Copyright © 2023 - 2026 Mahali Sokoni Trading Company Limited. All Rights Reserved.